Header Ads Widget

Responsive Advertisement

NAFASI ZA MASOMO KATIKA SHULE MPYA YA BARATON NDANI YA UTEGI-RORYA



BARATON SCHOOLS LTD
PRE & PRMARY SCHOOL
P.O. BOX 383. TARIME-TANZANIA
 TEL +255 686 757496 | +255 763 326971.


Mkuu wa Shule ya Baraton Schools Ltd iliyoko eneo la Nyarongi, Utegi Rorya kilomita 4 kutoka njia kuu ya Musoma-Tarime anapenda kuwatangazia Wazazi na walezi nafasi za Masomo katika madarasa ya Chekechea, darasa la kwanza na la pili kwa mwaka wa masomo wa 2015.
Shule ni ya bweni na kutwa kwa wavulana na wasichana, ina mazingira bora na salama. Walimu wenye sifa na uzoefu katika kufundisha.
Shule itafunguliwa tarehe 13/1/2015. Fomu za maombi ya kujiunga na shule zinapatikana katika maeneo yafuatayo:
1.   SACHITA F.M TARIME
2.   GIRANGO HOTEL TARIME
3.   GIRANGO HOTEL UTEGI
4.     MASAJODA INVESTMENT- OBWERE-SHIRATI.

Wote mnakaribishwa

Imetolewa na Ofisi ya Mkuu wa Shule
BARATON SCHOOLS LTD.

Post a Comment

0 Comments