Umaarufu wa msanii Lupita Nyong'o katika Red Carpet nchini Marekani
haujashuka licha ya kutokuwepo katika kamera kwa miezi michache
iliopita.
Mara yake ya pili katika Red Carpet ilikuwa siku ya jumapili usiku
ambapo maonyesho ya tuzo la wasanii wa Filamu SAG yalifanyika,ambapo
aliwaacha wengi vinywa wazi.
Akiwa amevalia rinda refu lenye rangi nyingi la mwanamitindo Ellie Saab
,msanii huyo nyota katika filamu ya 12 years slave aliwafanya
waliohudhuria tuzo hizo kutaka kumuona yeye tu.
Lakini kile kilichovutia wengi ni mtindo wake wa nywele.
Akifuata mizizi yake ya Afrika ,lupita ambaye hupendelea sana kuweka nywele fupi mara hiializisuka nyewele hizo.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena