Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Utegi ~ Ujenzi shule ya Msingi Masangura kuanza mara moja


Na Jacob Adongo Utegi.
Mbunge wa jimbo la Rorya Mhe. Lameck Airo ameendelea kutekeleza ahadi alizozitoa kwa wananchi wake wakati wa kampeni.


Baada ya mapumziko ya siku mbili jijini Mwanza niliyopewa na Mh Lakairo atimaye nafikishwa kijijini.Baada ya kufika kazi ya kwanza mh Lakairo Mbunge wa Rorya anatembelea kikundi cha vijana wa nyanduga wanaojishungulisha na ufyatuaji wa Matofali kijijini hapo.kama unavyoona nitanuru yenye matofali 35,000/.Baada ya kushauriana nao akakumbuka kuna ujenzi wa shule ktk kitongoji cha Masangura,ivyo ameyanunua matofali yote kwa ajili ya ujenzi huo.Baada ya kutoka hapo hakakutana nakikundi cha pili cha vijana wahendesha bodaboda wananda ligi ya ng'ombe hapo nyanduga.nikapewa nafasi ya kutoa ushauri.nimemwomba mh Lakairo azifanyie usajili vilabu hasa zilizoko hukanda wa juu na zachini.hombi limekubaliwa.Na taratibu zitaanza ndani ya wiki hii katika wilaya yote ya Rorya.Lengo la vijana hao ni kutafuta jinsi ya kuwaweka vijana karibu zaidi na kujikita zaidi katika michezo na kazi kwa ujumla.Hapa kazi tu


Post a Comment

0 Comments