UPUNGUFU WA CHAKULA KATIKA WILAYA YA RORYA WAPUNGUA. BAADA YA SERIKALI KULETA ZAIDI YA TAN 500 ZA MAHINDI NA KUFANYA BEI YA CHAKULA KUSHUKA KUTOKA TSH 3800 KWA KILO MBILI NA ROBO NA SASA KUFIKA TSH 900 KWA KILO .NA KWA WAFANYABIASHARA KUINGIZA CHAKULA KWA WINGI NA KWA SASA WAFANYA BIASHARA WANAUZA TSH 2500 KWA KILO MBILI NA ROBO PUNGUFU YA TSH 1300
Kituo cha habari na mawasiliano Rorya kilishuhudia wananchi wakiishukuru serikali kuleta chakula cha bei nafuu. kimekuwa mkombozi kwa upungufu wa CHAKULA ulio kuwepo, wengi wa wananchi wanasema kwa sasa CHAKULA sio tatizo tatizo kwa sasa ni upungufu wa pesa kwa wananchi.
Picha na Kituo cha Habari na Mawasiliano Rorya.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena