Header Ads Widget

Responsive Advertisement

LIVE: Kamanda Muslimu kuhusu tathmini ya ajali za barabarani 2017

AyoTV na millardayo.com ni kukusogeza karibu na kila habari, Breaking News zote unazipata kwa wakati na live kama hivi kupitia Youtube ya ‘millardayo‘ na hapa chini ukibonyeza play utamtazama Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslim akitoa tathmini ya ajali.

Post a Comment

0 Comments