Mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kwenye timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe amekiwezesha kikosi hicho kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la dunia baada ya kuifungia mabao mawili ya mwisho dhidi ya Argentina. Mabao ya Ufaransa yakifungwa na Griezmann dakika ya 13 kwanjia ya mkwaju wa penati, B Pavard akifunga (57),Kylian Mbappe akitupia (64, 68) wakati Argentina wakipata mabao yao kupitia kwa Di MarÃa (41), Mercado (48), na Aguero dakika za nyongeza (90+3).
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena