Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Jambazi alivamia Benki, walichomfanyia wapita njia ni kali ya mwaka

Masked-Robber
Wizi katika benki ni moja ya uhalifu ambao umekuwa ukijitokeza sana siku hizi hapa Tanzania, ambapo wapo majambazi wengine baada ya kupora pia wamekuwa wakifanya mauaji.
Hii ni kali.. Kuna video yenye taarifa kutoka China, jambazi alivamia Benki kwa lengo la kuiba, mmoja ya wafanyakazi aliposhtukia alikusanya pesa zote na kuzifungia katika safety box, akapiga simu Polisi halafu akajikusanya na wenzake wakajifungia chooni.
Jambazi huyo alipasua kioo na kuingia counter, akaanza kukagua droo kama zilikuwa nna chochote.
Mfanyakazi wa Benki hiyo,  Li Dehua amesema wakati wao wakiwa wamejificha, wapita njia walijikusanya kwa wingi katika counter za Benki na kumzuia ndani ya Benki hiyo mpaka Polisi walipofika na kumkamata jambazi huyo.


Post a Comment

0 Comments