Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Mapokezi ya Sophia yamenipa akili ya kufanya kazi | Ben Pol

10932191_1545721332379090_380810471_n 
Mkali wa RnB Kutoka BongoLand Ben Pol amedai mapokezi ya nyimbo yake mpya ya SOPHIA yamekuwa makubwa zaidi ya matarajio yake kiasi kwamba inambidi kujipanga jinsi ya kuifanya video ya nyimbo hiyo.
Ben Pol amedai kuwa asingependa kuichelewesha video hiyo na amepanga itoke mwezi ujao.

Post a Comment

0 Comments