Party imefanyika MAY 1 2015, story tayari ziko nyingi mitandaoni kuhusu burudani hiyo na ninafahamu kuna watu ambao hawako Dar na wangependa kuona kilichotokea.. wengine wako Dar ila hawakuhudhuria pia, nimeona isiwapite kabisa watu wangu !!
Naanza kwa kuzileta hizi picha kwanza alafu badae nitakuwekea video zote kwenyeYouTube Channel ya #RoryaFinest ambayo unaweza kujiunga kwa kusubscribe ili kila video ikipanda uipate bila shida
Ninazo pichaz nyingi sana mtu wangu, watu walipendeza sana.. nakusogezea kwanza hizi zaidi ya 35 za kwanza !! Kuanzia Red Carpet na kuendelea..
Boss wa Clouds, Ruge Mutahaba wako na Eric Omondi, comedian toka Kenya.
Diamond Platnumz anashuka kwenye Limo.. kaongozana na Madam Rita, baunsa wake Mwarabu na Meneja wake, Salam.
.
.
.
.
.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena