
Kama wewe ni shabiki la Ligi Kuu England
ratiba ya Ligi kwa ajili ya msimu wa 2016/2017 imetoka, rasmi sasa Ligi
Kuu England msimu wa 2016/2017 itaanza kuchezwa rasmi Jumamosi ya
August 13 2016, bingwa mtetezi wa Leicester City ataanza kwa kucheza na
Hull City. Unaweza bonyeza HAPA kupata ratiba yote.

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena