Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Video Review | Elizayo Hb #Nafurahi Kua nawe

Habari msomaji wa blog yetu?

Nakukaribisha leo tena katika video review, sehemu special kwa ajili ya kupitia video zilizofanya poa kutoka kanda ya ziwa...Leo namleta kwenu kijana mdoogo ELIZAYO HB kutoka Mwanza...
Wimbo unaitwa #Nafurahi Kuwa nawe..Video imefanyika kwa Hypa Ibadah..Audio imefanyika kwa Tiddy Hotter...Mazingira ya video ni mazuri Cinematography imezingatiwa vizuri, colour mixing nzuri na video queen mrembo.
Video Queen amefanya kazi yake vizuri sana.
Itazame hapa chini mpenzi msomaji

Tunategemea mambo mazuri toka kwa Elizayo Hb....


Elizayo Hb kwa sasa amejipanga kuja kivingine akiwa na Management mpya na Team nzuri kwa ajili ya usambazaji wa kazi zake..

Post a Comment

0 Comments